Kiswahili Department

Karibu katika Idara ya Kiswahili

Kiswahili ni moja wapo wa masomo yanayofundishwa Katika Shule ya Wasichana ya Mtakatifu Aloysius Bwanda.

Kiswahili ni moja wapo wa masomo yaliyoteuliwa kuwa lazima yafundishwe Katika mtaala mpya nchini Uganda katika kidato cha kwanza hadi cha pili, na Katika shule hii ya Mtakatifu Aloysius Bwanda nayo haikuachwa nyuma Katika Maendeleo ya Kiswahili nchini Uganda.

Kuna walimu wawili wanaokikariri na kuendeleza Kiswahili katika shule hii:

  1. Mwalimu Turyasiima Mutabazi John – Mkuu wa idara ya Kiswahili
  2. Mwalimu Agaba Julius.

Wanafunzi wetu wanakipenda Kiswahili na wengi wao wamekiteua na kuamua kukisoma hadi darasa za juu yaani kidato cha tatu na cha nne.

Waliwu wako tayari kuwafundisha wanafunzi lugha hii. Kiswahili kiendelezwe na kisikike kote duniani kupitia hapa katika shule ya Wasichana ya Mtakatifu Aloysius Bwanda.